Involvement

Mashairi

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

Sikitiko la moyo

Na Mariita Joshua  Langu sikitiko ni haja ya moyo, Moyo wenye kuvunjika na kuvunda, Makovu yangalipo kama alama ya utambulisho. Nisijafa ili nililiwe ila vikao naviona jinamizini, Furaha imenikoma ili wimbi la kiza litawale, Nani wakunipa mapendo ili mtima udunde? Mbona raha inikauke wakati chemichemi inabubujika? Nguvu sinazo, ni lelemama jina langu, Hawahitaji kwenda vichekeshoni, […]

Mashairi

NYAMA NI ILE ILE

{Picha kwa hisani ya Organic Authority}   Na Abdul Shaban   Mabucha utabadili, nyama ni ile ile Wa kizungu na swahili, uitakayo uile Kwa chumvi na pilipili, hata uunge tungule Mabucha usibadili, nyama ni ile ile Nyama zote mabuchani, zatoka machinjioni Hizo ndo zenye idhini, zipikwe kwako nyumbani Umbile lisikukhini, minofu ilosheheni Mabucha usibadili, nyama

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

Pinky Ponky

[Pcha kwa hisani ya Freepik] Na Abdul Shaban. Nimefika katikati,kuelekea nyumbani. Namuona kaiwesti,nayeye yuko njiani. Juu kavalia vesti,chini nguo ya kijani. Akauliza bwana J,mbona umekimya sana? Mbona umekimya sana,ndio swali alonipa. Sikujibu kwamapana,mana nilitaka sepa. Njaa ilibana sana,jibu sikuweza mpa. Lisilo budi hutendwa,leo tunzi yakujibu. Leo tunzi yakujibu, hadhi zetu zilishuka. Sasa ikawa wajibu,ndimi zetu

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

WAPI NJIA NITAPATA?

Na Abdul Shaban Ndugu zangu ahlani, wasahlan jamiaNawaombea amani, iweni nanyi daimaNimenena kwa vinani, taarifa kuwafikaNawauliza jamani, wapi njia nitapata? Mwenzenu nawambieni, limenikuta gharikaChonde chonde sikizeni, nipatapo saidikaSitanena kwa uwazi, adui atang’amuzaNawauliza jamani, wapi njia nitapata? Nimo ndani ya bahari, nimezama kwa pupaHali imetahayari, sina hata pa kushikaMchana hapapo tuli, usikupo kwachafukaNawauliza jamani, wapi njia

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

MUDA

{Picha kwa hisani ya HelpGuide.org}   Na Abdul S. Shaban Nakumbuka ule muda, Niliokuwa napoteza muda, Nabaki naumia buda, Sikuwahi tunza muda. Muda leo unao, Muda kesho hunao, Muda kama pembejeo, Muda upangie vikao. Muda usikupe husda, Muda gawa wa ibada, Muda wapea ka kishada, Muda ni chanzo cha mada. Muda si kikonkomwe, Muda si

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

RUKA NAMI

{Picha kwa hisani ya birdfact}   Na Abdul S. Shaban Wewe ni ndege mzuri, zavutia zako mbawa, Harufuyo ya uturi, niumwapo ndiyo dawa, Nuru yashinda kamari, inawaka maridhawa, Ewe ndege ulo mwema, naomba uruke nami. Naomba uruke nami, ndiyo ya kwangu maombi, Chini kuna tsunami, ina makubwa mawimbi, Ukidondoka na mimi, kufa nawe sio dhambi,

Scroll to Top