Pendo
(Picha kwa hisani ya Adobe Stock) Na Abdul Shaban (abdoolmtyro@gmail.com) Ukipenda tafakari lako pendo, Unaempambania ana pendo? Au unapambana ili upate pendo? Nakupenda… Read More »Pendo
(Picha kwa hisani ya Adobe Stock) Na Abdul Shaban (abdoolmtyro@gmail.com) Ukipenda tafakari lako pendo, Unaempambania ana pendo? Au unapambana ili upate pendo? Nakupenda… Read More »Pendo
(Picha kwa hisani ya Pinterest) Na Abdul Shaban Mwenye hisani ni nani, kwanza ninawauliza, Aeleke mtimani, bila hata ya kuwaza, Khatari imesheheni, yupo aloniumiza,… Read More »MTIMA WANGU WAUMA
Na Abdul Shaban Maradhi yamenisibu, hadi leo naugua, Sasa naona aibu, afya imenipotea, Naomba kwake Wahabu, kwa rehema za jalia, Kifo ni njia ya… Read More »SAFARI YA UMAUTI
(Picha kwa hisani ya Owlcation.com) Na Abdul Shaban Tulisifu na kulitukuza jina lake siku zote Kwa maana anatupenda sisi sote Uwepo wake umedhihirika kote… Read More »ENYI VIJANA
(Picha kwa hisani ya Dreamstime.com) {Na Abdul Shaban} Nakumbuka siku hiyo, niliketi kitandani, Alikuja mbiyombiyo, akalala kifuani, Akiwa mwenye kiliyo, kama yuko msibani, Hakika kitu… Read More »KITU KIZITO