Involvement

Michezo

Michezo

Matokeo na matukio Ligi Kuu Uingereza

  Na Dennis Mungai   Raundi ya kumi na sita za mechi ligi kuu nchini Uingereza ilikamilika jana usiku baada ya mechi baina ya Liverpool na Manchester United. Mechi hiyo ilitoka sare tasa huku vijana wa Erik Ten Hag wakiweka ulinzi uliokua mgumu kupitwa na mashambulizi ya Liverpool. Diogo Dalot wa United alipewa kadi nyekundu […]

Michezo

Matokeo ya Ligi Kuu Uingereza

Mpambano wa Stamford Bridge kati ya Chelsea na Manchester City ulichipuka kama gari la burudani lililowacha mashabiki bila pumzi baada ya tamasha. Mchezo ulichukua muda kuanza, na Erling Haaland akifungua mlango kwa City katika dakika ya 25 kutoka kwa kipindi baada ya mzozo na Cucurella. Chelsea ilijibu haraka, na kichwa cha nguvu cha Thiago Silva

Michezo

Matokeo ya Ligi kuu Nchini Uingereza

Na Denni Mungai Manchester City walipata ushindi wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Brighton siku ya Jumamosi. Julian Alvarez alifunga bao la kwanza naye Erling Haaland alifunga bao lake la tisa msimu huu kuipa City uongozi katika kipindi cha kwanza. Ansu Fati alifunga bao lake la kwanza kama mchezaji wa Brighton lakini haikutosha kupata

Michezo

Ligi kuu ya mabingwa barani Ulaya

(Picha kwa hisani ya SoccerBible)   Na Dennis Mungai Raundi ya pili za mechi za makundi ligi ya mabingwa barani Ulaya itaendelea wiki hii. Siku ya Jumanne mechi nane zitachezwa, ya kwanza ikiwa kati ya Union Berlin na Braga ya Ureno. Vijana wa Erik ten Hag Manchester United wataialika Galatasaray huku wakitafuta ushindi wao wa

Michezo

Matokeo ya siku ya Jumatano

[Picha kwa hisani ya AFC] Na Dennis Mungai  Mabingwa mara kumi na tatu Real Madrid walipata ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Union Berlin. Jude Bellingham alifunga bao la pekee mechi ilipokaribia kukamilika na kuipa Los Blancos alama tatu. Arsenal walianza msimu wao kwa kishindo huku wakigaragaza PSV 4-0. Mabao ya Arsenal yakifungwa

Michezo

Matokeo za mechi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya

[Picha kwa hisani ya FC Barcelona] Na Dennis Mungai Msimu mpya wa ligi kuu ya mabingwa barani Ulaya ulianza jana usiku huku mechi nane zikichezwa. Newcastle United walianza msimu wao dhidi ya AC Milan baada ya kukosa kushiriki michuano hii kwa miaka ishirini. Mechi hiyo ilikamilika sare tasa, kila timu ikitoka na alama moja. Timu

Scroll to Top