Involvement

Jamvi la Kiswahili

Habari

Kisanga cha Mlipuko wa Gesi

Na Abdul Shaban Mlipuko wa gesi ulisababisha moto umeuwa watu wawili na kujeruhi zaidi ya 200 katika mji mkuu wa Kenya Nairobi, mamlaka imesema leo. Mlipuko huo ulitokea katika mtaa wa Embakasi jijini Nairobi kabla ya saa sita usiku katika kampuni ya kujaza gesi, ambayo jengo lake liliharibiwa vibaya, msemaji wa serikali alisema. Moto huo […]

Michezo

Matokeo na matukio Ligi Kuu Uingereza

  Na Dennis Mungai   Raundi ya kumi na sita za mechi ligi kuu nchini Uingereza ilikamilika jana usiku baada ya mechi baina ya Liverpool na Manchester United. Mechi hiyo ilitoka sare tasa huku vijana wa Erik Ten Hag wakiweka ulinzi uliokua mgumu kupitwa na mashambulizi ya Liverpool. Diogo Dalot wa United alipewa kadi nyekundu

Habari

TATANISHI LA MAFURIKO MJINI MOMBASA

  Na Ashley Mbashu   Kulingana na taarifa za hali ya anga, sehemu tajika za kaunti ya Mombasa zimeshuhudia mvua ya  mno.   Mafuriko yanaendelea kuzua misukosuko mjini Mombasa. Baadhi ya mikoa iliyoathirika kupita kiasi ni eneo la Bamburi, Old Town na kwingineko. Takwimu za serikali zinaarifu kuwa kaunti 33 zimeathirika kutokana na mvua kubwa

Michezo

Matokeo ya Ligi Kuu Uingereza

Mpambano wa Stamford Bridge kati ya Chelsea na Manchester City ulichipuka kama gari la burudani lililowacha mashabiki bila pumzi baada ya tamasha. Mchezo ulichukua muda kuanza, na Erling Haaland akifungua mlango kwa City katika dakika ya 25 kutoka kwa kipindi baada ya mzozo na Cucurella. Chelsea ilijibu haraka, na kichwa cha nguvu cha Thiago Silva

Michezo

Matokeo ya Ligi kuu Nchini Uingereza

Na Denni Mungai Manchester City walipata ushindi wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Brighton siku ya Jumamosi. Julian Alvarez alifunga bao la kwanza naye Erling Haaland alifunga bao lake la tisa msimu huu kuipa City uongozi katika kipindi cha kwanza. Ansu Fati alifunga bao lake la kwanza kama mchezaji wa Brighton lakini haikutosha kupata

Michezo

Ligi kuu ya mabingwa barani Ulaya

(Picha kwa hisani ya SoccerBible)   Na Dennis Mungai Raundi ya pili za mechi za makundi ligi ya mabingwa barani Ulaya itaendelea wiki hii. Siku ya Jumanne mechi nane zitachezwa, ya kwanza ikiwa kati ya Union Berlin na Braga ya Ureno. Vijana wa Erik ten Hag Manchester United wataialika Galatasaray huku wakitafuta ushindi wao wa

Scroll to Top