Involvement

Habari

Habari

Kisanga cha Mlipuko wa Gesi

Na Abdul Shaban Mlipuko wa gesi ulisababisha moto umeuwa watu wawili na kujeruhi zaidi ya 200 katika mji mkuu wa Kenya Nairobi, mamlaka imesema leo. Mlipuko huo ulitokea katika mtaa wa Embakasi jijini Nairobi kabla ya saa sita usiku katika kampuni ya kujaza gesi, ambayo jengo lake liliharibiwa vibaya, msemaji wa serikali alisema. Moto huo […]

Habari

TATANISHI LA MAFURIKO MJINI MOMBASA

  Na Ashley Mbashu   Kulingana na taarifa za hali ya anga, sehemu tajika za kaunti ya Mombasa zimeshuhudia mvua ya  mno.   Mafuriko yanaendelea kuzua misukosuko mjini Mombasa. Baadhi ya mikoa iliyoathirika kupita kiasi ni eneo la Bamburi, Old Town na kwingineko. Takwimu za serikali zinaarifu kuwa kaunti 33 zimeathirika kutokana na mvua kubwa

Habari, Jamvi la Kiswahili

MAKAMU CHANSELA WA CHUO KIKUU CHA DAYSTAR ATEULIWA KAMA MWAKILISHI WA KITAIFA WA BODI YA CHAMA CHA ELIMU YA MAREKEBISHO, MAREKANI.

[Picha kwa hisani ya Prof. Laban Ayiro Facebook]   Na Ashley Mbashu   Makamu wa chansela, Profesa Laban Ayiro, ateuliwa kuwa mwakilishi wa bodi ya chama cha Elimu ya Marekebisho,  Marekani. Chama hiki kinahusu wataalamu wanaofanya kazi kwenye vitengo vya watu wazima na watoto kote nchini. Wao hutoa mafunzo muhimu na mitandao yenye manufaa ili

Habari, Jamvi la Kiswahili

MAONYESHO YA NANENANE

(Picha kwa hisani ya Tanzania Agricultural Development Bank)   Na Gertrude Prosper Nane Nane ni likizo ya umma nchini Tanzania inayosheherekewa tarehe 8 Agosti, kila mwaka. Ni siku ya maonyesho ya kilimo ambapo wakulima wote nchini wanafanya maonyesho yao ya mazao, mifugo, dawa, na bidhaa katika kanda mbalimbali. Leo, Agosti 8 2022 ni kilele cha

Habari, Jamvi la Kiswahili

Sherehe ya Eid-ul-Adha 2022

(Picha kwa hisani ya Hindustan Times) Na Getrude Prosper Mwaka huu wa 2022, nchi tofauti tofauti duniani zimesheherekea sikukuu ya Idd kwenye tarehe tofauti. Baadhi ya nchi zimesherehekea siku ya Jumamosi Julai 9 2022 na zingine zimesherehekea siku ya Jumapili Julai 10 2022. Zaidi ya hayo, Waziri wa Usalama wa ndani, Fred Matiang’i ametangaza kuwa

Habari, Jamvi la Kiswahili

WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA JAPAN, SHIZO ABE AFARIKI DUNIA.

(Picha kwa hisani ya OneIndiaNews) Na Gertrude Prosper   Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amefariki dunia baada ya kupigwa risasi akiwa katika kampeni za chama chake cha Liberal Democratic Party (LDP) kwenye uchaguzi wa wabunge katika mji wa Nara Magharibi mwa nchi hiyo. Abe amefariki dunia hospitalini baada ya kulazwa akiwa mahututi

Scroll to Top