Involvement

Jamvi la Kiswahili

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

MGENI KIPOFU

(Picha kwa hisani ya MuseumNext)   Na Abdul S. Shaban   Tazama bila ya hofu, hapo ndipo utaona, Alosema muongofu, alitazama kwa kina, Pasinapo hitilafu, mimi naye naungana, Kuwa mgeni kipofu, hata kama anaona. Mgeni huwa kipofu, hata kama anaona, Vitu vyenye upotofu, hasemi atauchuna, Huwa anaudhohofu, mjuvi kuonekana, Kweli mgeni kipofu, hata kama anaona. […]

Habari, Jamvi la Kiswahili

MAONYESHO YA NANENANE

(Picha kwa hisani ya Tanzania Agricultural Development Bank)   Na Gertrude Prosper Nane Nane ni likizo ya umma nchini Tanzania inayosheherekewa tarehe 8 Agosti, kila mwaka. Ni siku ya maonyesho ya kilimo ambapo wakulima wote nchini wanafanya maonyesho yao ya mazao, mifugo, dawa, na bidhaa katika kanda mbalimbali. Leo, Agosti 8 2022 ni kilele cha

Jamvi la Kiswahili, Mashairi, News

Penzi Halijaribiwi, Utanaswa Unasike.

(Picha kwa hisani ya The Economic Times) Na Abdul Shaban   Mapenzi ya siku hizi, ni ya nipe ndo nikupe, Tena ya tele mapozi, kadhalika na mapepe, Sipo jali tawa chizi, ujipake na matope, Penzi halijaribiwi, utanaswa unasike.     Penzi halina mjuzi,  nina kwambia peupe, panga yako mamuzi, mabaya uje utupe, ya sikutoke machozi,

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

Nakusifia

(Picha kwa hisani ya WBUR) Na Abdul Shaban Mke ninakusifia, Mzuri umetulia, Na wala sitojutia, Kifua nakitanua. Nakupongeza kwa hili, Nyumbani nikiwasili, Moyo wangu huwa tuli, Hali unanijulia. Nilipanga mikakakati, Masijidi nikaketi, Dua pia na swalati, Nikamuomba jalia. Nikataraji mazuri, Mwenye dini ndo mzuri, Mola akanitabiri, Wewe ndo ukanijia. Sitara unatimiza, Mazuri wanihimiza, Kikosea wanijuza,

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

Pendo

(Picha kwa hisani ya Adobe Stock) Na Abdul Shaban (abdoolmtyro@gmail.com)   Ukipenda tafakari lako pendo, Unaempambania ana pendo? Au unapambana ili upate pendo?   Nakupenda sikatai na wajua, Ila bado hunifai my dear, Hunipendi sikatai mi najua, Ila bado siamini mi nalia.   Nalilia nini zaidi ya pendo? Kwako sina meno, mi siumi yani magego,

Scroll to Top