Involvement

Jamvi la Kiswahili

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

RUKA NAMI

{Picha kwa hisani ya birdfact}   Na Abdul S. Shaban Wewe ni ndege mzuri, zavutia zako mbawa, Harufuyo ya uturi, niumwapo ndiyo dawa, Nuru yashinda kamari, inawaka maridhawa, Ewe ndege ulo mwema, naomba uruke nami. Naomba uruke nami, ndiyo ya kwangu maombi, Chini kuna tsunami, ina makubwa mawimbi, Ukidondoka na mimi, kufa nawe sio dhambi, […]

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

MTI ULIOPINDA

{Picha kwa hisani ya Warren Photographic}   Na Abdul S. Shaban   Hakiwezi kunyooka, kivuli cha mti huu, Toto la nyoka ni nyoka, majuto ni mjukuu, Maovu ukiyataka, sifanyie mji huu, Kama mti ukipinda, kivuli hakinyooki. Kivuli kitafuata, umbile la mti wake, Ikiwa kitakupata, mtoto kinyesi chake, Hutakiwi kuukata, osha mkono sinuke, Kama mti ukipinda,

Jamvi la Kiswahili, Maoni

TABIA NCHI

{Picha kwa hisani ya As You Know}                                                 Na: Gertrude Prosper {getrude2003@gmail.com} Tabianchi ni hali ya mabadiliko ya mazingira ya hali ya hewa ikiwemo joto, mvua na pepo. Mabadiliko ya tabianchi yanapojitokeza

Jamvi la Kiswahili, Maoni

  BIASHARA YA OMBAOMBA

{Picha kwa hisani ya Mwananchi}   Na: Gertrude Prosper {getrude2003@gmail.com}  Tumekua tukiona watu ikiwemo watoto na wazee walemavu barabarani wakiombaomba ili waweze kujikimu kimaisha. Ila cha kushangaza ni kwamba wengi wao wapo kibiashara, na sio tu biashara ya kawaida ila ni ile ya kutumikishwa. Baadhi ya watu hawa wanageuza kuwa mtaji, na nyuma yao ni

Jamvi la Kiswahili, Maoni

 MFANYAKAZI WA NYUMBANI

{Picha kwa hisani ya Conde Nast Travelers}   Na: Gertrude Prosper {getrude2003@gmail.com} Kwa miaka mingi sasa watu wengi wamezoea kuwaajiri wafanyakazi wa ndani ili kuwasaidia kazi. Wafanyakazi hawa wa nyumbani ni wasaidizi au wakelezaji wa kazi zote za nyumbani ikiwemo kufua, kupika, kufanya usafi wa nyumba na mazingira, kuosha vyombo na baadhi ya kazi zingine

Jamvi la Kiswahili

   AFYA YA AKILI

(Photo courtesy of uCheck Blog) Na: Gertrude Prosper getrude2003@gmail.com  Afya ya kiakili ni hali ya kuwa sawa kiakili, kisaikolojia na kuwa na mawazo chanya. Afya ya kiakili ni muhimu kwa sababu inahusiana na jinsi akili ya mtu inavyofanya kazi. Miaka inavyozidi kuenda, afya ya kiakili inaharibiwa na hivyo kusababisha watu kupata matatizo ya kiakili. Matatizo haya

Scroll to Top