Skip to content

Involvement

Home » Jamvi la Kiswahili » Page 3

Jamvi la Kiswahili

WAPI NJIA NITAPATA?

Na Abdul Shaban Ndugu zangu ahlani, wasahlan jamiaNawaombea amani, iweni nanyi daimaNimenena kwa vinani, taarifa kuwafikaNawauliza jamani, wapi njia nitapata? Mwenzenu nawambieni, limenikuta gharikaChonde chonde… Read More »WAPI NJIA NITAPATA?

MUDA

{Picha kwa hisani ya HelpGuide.org}   Na Abdul S. Shaban Nakumbuka ule muda, Niliokuwa napoteza muda, Nabaki naumia buda, Sikuwahi tunza muda. Muda leo unao,… Read More »MUDA

RUKA NAMI

{Picha kwa hisani ya birdfact}   Na Abdul S. Shaban Wewe ni ndege mzuri, zavutia zako mbawa, Harufuyo ya uturi, niumwapo ndiyo dawa, Nuru yashinda… Read More »RUKA NAMI

MTI ULIOPINDA

{Picha kwa hisani ya Warren Photographic}   Na Abdul S. Shaban   Hakiwezi kunyooka, kivuli cha mti huu, Toto la nyoka ni nyoka, majuto ni… Read More »MTI ULIOPINDA

TABIA NCHI

{Picha kwa hisani ya As You Know}                                    … Read More »TABIA NCHI

   AFYA YA AKILI

(Photo courtesy of uCheck Blog) Na: Gertrude Prosper getrude2003@gmail.com  Afya ya kiakili ni hali ya kuwa sawa kiakili, kisaikolojia na kuwa na mawazo chanya. Afya… Read More »   AFYA YA AKILI