Skip to content

Involvement

Home » Jamvi la Kiswahili » Mashairi

Mashairi

Sikitiko la moyo

Na Mariita Joshua  Langu sikitiko ni haja ya moyo, Moyo wenye kuvunjika na kuvunda, Makovu yangalipo kama alama ya utambulisho. Nisijafa ili nililiwe ila vikao… Read More »Sikitiko la moyo

Pinky Ponky

[Pcha kwa hisani ya Freepik] Na Abdul Shaban. Nimefika katikati,kuelekea nyumbani. Namuona kaiwesti,nayeye yuko njiani. Juu kavalia vesti,chini nguo ya kijani. Akauliza bwana J,mbona umekimya… Read More »Pinky Ponky

WAPI NJIA NITAPATA?

Na Abdul Shaban Ndugu zangu ahlani, wasahlan jamiaNawaombea amani, iweni nanyi daimaNimenena kwa vinani, taarifa kuwafikaNawauliza jamani, wapi njia nitapata? Mwenzenu nawambieni, limenikuta gharikaChonde chonde… Read More »WAPI NJIA NITAPATA?

MUDA

{Picha kwa hisani ya HelpGuide.org}   Na Abdul S. Shaban Nakumbuka ule muda, Niliokuwa napoteza muda, Nabaki naumia buda, Sikuwahi tunza muda. Muda leo unao,… Read More »MUDA

RUKA NAMI

{Picha kwa hisani ya birdfact}   Na Abdul S. Shaban Wewe ni ndege mzuri, zavutia zako mbawa, Harufuyo ya uturi, niumwapo ndiyo dawa, Nuru yashinda… Read More »RUKA NAMI

MTI ULIOPINDA

{Picha kwa hisani ya Warren Photographic}   Na Abdul S. Shaban   Hakiwezi kunyooka, kivuli cha mti huu, Toto la nyoka ni nyoka, majuto ni… Read More »MTI ULIOPINDA

MGENI KIPOFU

(Picha kwa hisani ya MuseumNext)   Na Abdul S. Shaban   Tazama bila ya hofu, hapo ndipo utaona, Alosema muongofu, alitazama kwa kina, Pasinapo hitilafu,… Read More »MGENI KIPOFU

Nakusifia

(Picha kwa hisani ya WBUR) Na Abdul Shaban Mke ninakusifia, Mzuri umetulia, Na wala sitojutia, Kifua nakitanua. Nakupongeza kwa hili, Nyumbani nikiwasili, Moyo wangu huwa… Read More »Nakusifia