Involvement

Jamvi la Kiswahili

Jamvi la Kiswahili, Michezo

Tetesi Za Mbappe

{Picha kwa hisani ya Sky News}   Na Abdul Shaban   Mshambuliaji Kylian Mbappe wiki jana Jumanne aliripotiwa kuwa na kikao maalumu na rais wa Paris Saint-Ger-main, Nasser Al-Khelaifi kujadili hatima yake.  Rais wa PSG Al-Khelaifi alikiri kushtushwa na uamuzi wa mshambuliaji huyo kwamba hawezi kubaki kwenye timu hiyo hadi 2025. Kutokana na hilo, PSG […]

Habari, Jamvi la Kiswahili

MAKAMU CHANSELA WA CHUO KIKUU CHA DAYSTAR ATEULIWA KAMA MWAKILISHI WA KITAIFA WA BODI YA CHAMA CHA ELIMU YA MAREKEBISHO, MAREKANI.

[Picha kwa hisani ya Prof. Laban Ayiro Facebook]   Na Ashley Mbashu   Makamu wa chansela, Profesa Laban Ayiro, ateuliwa kuwa mwakilishi wa bodi ya chama cha Elimu ya Marekebisho,  Marekani. Chama hiki kinahusu wataalamu wanaofanya kazi kwenye vitengo vya watu wazima na watoto kote nchini. Wao hutoa mafunzo muhimu na mitandao yenye manufaa ili

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

Pinky Ponky

[Pcha kwa hisani ya Freepik] Na Abdul Shaban. Nimefika katikati,kuelekea nyumbani. Namuona kaiwesti,nayeye yuko njiani. Juu kavalia vesti,chini nguo ya kijani. Akauliza bwana J,mbona umekimya sana? Mbona umekimya sana,ndio swali alonipa. Sikujibu kwamapana,mana nilitaka sepa. Njaa ilibana sana,jibu sikuweza mpa. Lisilo budi hutendwa,leo tunzi yakujibu. Leo tunzi yakujibu, hadhi zetu zilishuka. Sasa ikawa wajibu,ndimi zetu

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

WAPI NJIA NITAPATA?

Na Abdul Shaban Ndugu zangu ahlani, wasahlan jamiaNawaombea amani, iweni nanyi daimaNimenena kwa vinani, taarifa kuwafikaNawauliza jamani, wapi njia nitapata? Mwenzenu nawambieni, limenikuta gharikaChonde chonde sikizeni, nipatapo saidikaSitanena kwa uwazi, adui atang’amuzaNawauliza jamani, wapi njia nitapata? Nimo ndani ya bahari, nimezama kwa pupaHali imetahayari, sina hata pa kushikaMchana hapapo tuli, usikupo kwachafukaNawauliza jamani, wapi njia

Jamvi la Kiswahili, Uncategorized

Huzuni Kwa Mama Likizoni

Na Abdul S. Shaban  Mwambie anipigie ni mimi mama yake! Mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya kupalaza ya khamisi. Mwambie amenenepa sana ..mwambie nimeona gari lake ni zuri sana ! Ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda pamoja na kuku. Mwambie nimeumwa sana ila nikapona bila hata kutumia dawa.

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

MUDA

{Picha kwa hisani ya HelpGuide.org}   Na Abdul S. Shaban Nakumbuka ule muda, Niliokuwa napoteza muda, Nabaki naumia buda, Sikuwahi tunza muda. Muda leo unao, Muda kesho hunao, Muda kama pembejeo, Muda upangie vikao. Muda usikupe husda, Muda gawa wa ibada, Muda wapea ka kishada, Muda ni chanzo cha mada. Muda si kikonkomwe, Muda si

Scroll to Top