Involvement

kiswahili

Falcons News, Jamvi la Kiswahili, Sports, Uncategorized

MCHUANO WA KUKATA NA SHOKA

Na: Dorothy Waweru dorothywaweru161706@daystar.ac.ke Sikukuu ya Moi chuoni Daystar ilisherehekewa kwa mbwembwe, vifijo na nderemo kwani katika uga wa “Santiago Barna Betheli” kama unavyojulikana na wacheza kandanda wengi, mchuano mkubwa ulikuwa ukiendelea. Mchuano huo uliandaliwa na wanafunzi wacheza kandanda ikiwemo; Walter Nalwa, Nicholas Atulo Snr, Cedrick na Dadiseh Olwaga ambao walinuia kujiburudisha katika mchezo huo […]

Jamvi la Kiswahili, National News, News

KIVUKIO CHA KIFO

Na: Dorothy Waweru dorothywaweru161706@daystar.ac.ke Picha kwa hisani ya: The Star Ni afueni kwa wakenya wote na haswa familia yake Bi. Mariam Kighenda kwa kutolewa katika hindi la Victoria. Shughuli hii iliyochukua siku kumi na tatu, imezifanya nyoyo nyingi sasa kupata na utulivu. Aila ya Bi. Mariam sasa inauhuru wa kuzipumzisha mili ya wapenda wao ambao

Campus News, Jamvi la Kiswahili

UONGOZI UPYA KATIKA KLABU YA DAYSTAR COMPASSION AND CARE CENTER

Na Gladys Sheila gladyshila52@gmail.com Picha kwa hisani ya: Joseph Gichari Josephndungo55@gmail.com Klabu ya Daystar Compassion and Care Center (DCCC) almarufu DC3 iliyoko katika chuo kikuu cha Daystar ilisherehekea uongozi upya. DC3, ni klabu ambayo imekuwepo tangu mwaka wa (2013) huku lengo lake kuu likiwa kufahamisha wanadaystar kuhusu maswala ya afya, kuwasaidia kisaikolojia wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi

Uncategorized

SHUJAA WETU

Na: Wangu Kanuri kanuriwangu@gmail.com Melina Gold, mwanzilishi wa begi za Melina Gold. TUELEZE kuhusu ushoni wako wa mikoba [UTANGULIZI] Mikoba ya Melina Gold, ninashona kwa kutumia ngozi. Utengenezaji wa mikoba hii ilianza mwaka wa 2019 Februari huku lengo langu likiwa kuutuza usanii na upekee wa vitu vya Kenya. Ushonaji wa mikoba hii hutumia ngozi na

Campus News, Faces of Daystar, Falcons News, Features, Sports

SHUJAA WETU

Na: Wangu Kanuri kanuriwangu@gmail.com TOA maelezo yako kuhusu mchezo wa raga Raga ni mchezo ambao unahitaji nguvu haswa kwenye misuli. Mchezo huu umegawanywa katika makundi mawili makuu; ya wachezaji saba na ya wachezaji kumi na tano. Kundi hili la wachezaji saba hujulikana vyema kama rugby 7s ilhali hilo la wachezaji kumi na tano hujulikana kama

Jamvi la Kiswahili, National News, News

KUNA NINI KATIKA BARABARA YA MAGADI?

wangukanuri181152@daystar.ac.ke Na: Wangu Kanuri Ilikuwa vuta nikuvute katika barabara ya Magadi baina wanafunzi wa chuo kikuu cha Multimedia na polisi. Wanafunzi wa chuo kikuu hicho waliandamana na kufunga barabara hiyo kufuatia ajali iliyomlaza mmoja wao katika hospitali kuu ya Kenyatta huku akiwa katika hali mahututi. Kamanda wa Langata bwana Gregory Mutiso aliwarai wasafiri kutumia njia

Scroll to Top