Involvement

Michezo

Jamvi la Kiswahili, Michezo

Matukio na Matokeo Ligi Kuu Nchini Uingereza

{Picha kwa hisani MyBroadBand}   Na Dennis Mungai   Raundi ya nne ya mechi Ligi kuu nchini Uingereza imekamilika wikendi hii siku ya Jumapili, mechi ya mwisho ikiwa baina ya  Arsenal dhidi ya Manchester United. Mechi yenyewe ilikua ya kusisimua, The Gunners wakipata ushindi wa mabao tatu kwa moja. Declan Rice alifunga bao lake la […]

Michezo

Matokeo na Matukio Ligi Kuu Nchini Uingereza

{Picha kwa hisani ya Bekaboy}   Na Dennis Mungai Raundi ya pili za mechi ligi kuu nchini Uingereza ilikamilika jana usiku wakati Arsenal walichuana na Crystal Palace ugani Selhurst Park. Vijana wa Mikel Arteta walipata ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya mahasimu wao wa jadi kupitia penalti iliyofungwa na Martin Odegaard. Beki wa

Michezo

LIGI KUU NCHINI UINGEREZA

Mlinzi wa Manchester United Raphael Varane asherekea bao la pekee katika mechi dhidi ya Wolves siku ya Jumatatu. {Picha kwa hisani ya Premier League}   Na Dennis Mungai   Jana usiku Manchester United waliialika Wolverhampton Wanderers ugani Old Trafford kwa mechi ya ufunguzi baina ya timu hizo katika msimu mpya wa 2023/24. Wachezaji wapya wa

Jamvi la Kiswahili, Michezo

Tetesi Za Mbappe

{Picha kwa hisani ya Sky News}   Na Abdul Shaban   Mshambuliaji Kylian Mbappe wiki jana Jumanne aliripotiwa kuwa na kikao maalumu na rais wa Paris Saint-Ger-main, Nasser Al-Khelaifi kujadili hatima yake.  Rais wa PSG Al-Khelaifi alikiri kushtushwa na uamuzi wa mshambuliaji huyo kwamba hawezi kubaki kwenye timu hiyo hadi 2025. Kutokana na hilo, PSG

Jamvi la Kiswahili, Michezo

ANGELLA OKUTOYI ASHINDA MASHINDANO YA WIMBLEDON

(Picha kwa hisani ya The Standard) Na Gertrude Prosper   Mchezaji wa tenisi, Angella Okutoyi mwenye umri wa miaka kumi na minane aibuka kuwa mwanamke wa kwanza kutoka Kenya kushinda mashindano ya Wimbledon. Katika mashindano hayo ya fainali, Angella alikuwa akishirikiana na Mholanzi Rose Marie Nijkamp katika timu ya wanawake Julai 9, 2022. Baada ya

Scroll to Top