- (Picha kwa hisani ya Mwanaspoti)
Na Abdul Shaban
Siku hii inalenga kukuza matumizi ya Lugha hiyo kama nguzo ya Umoja, Ustawi na Amani
Kiswahili ni miongoni mwa Lugha zinazotumiwa zaidi Afrika, na kwa Mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) ni kati ya Lugha 10 zinazozungumzwa na watu wengi duniani, ikiwa na wazungumzaji zaidi ya Milioni 200