Involvement

kenya

Faces of Daystar

A DIVE INTO FASHION

This week on Faces of Daystar, meet Wambui Ndaiyo. She is not only a student at Daystar but also the founder and lead designer of Sapatu Kenya and also the Public relations Manager of Urban Change Lab.

Jamvi la Kiswahili, National News, News

SIKUKUU YA MOI YAREJESHWA TENA

Picha kwa hisani ya: businesstoday.co.ke Na Gladys Sheila, gladyshila52@gmail.com Katibu wa baraza la mawaziri katika wizara ya mambo ya ndani na uratibu wa serikali ya kitaifa Daktari Fred Matiang’i alitoa taarifa siku ya Jumanne na kuidhinisha sikukuu ya Moi kama sikukuu ya kitaifa. Hii ni baada ya uamuzi wa mahakama. Mnamo mwaka wa 2010, sikukuu

Falcons News, Jamvi la Kiswahili, Sports, Uncategorized

MCHUANO WA KUKATA NA SHOKA

Na: Dorothy Waweru dorothywaweru161706@daystar.ac.ke Sikukuu ya Moi chuoni Daystar ilisherehekewa kwa mbwembwe, vifijo na nderemo kwani katika uga wa “Santiago Barna Betheli” kama unavyojulikana na wacheza kandanda wengi, mchuano mkubwa ulikuwa ukiendelea. Mchuano huo uliandaliwa na wanafunzi wacheza kandanda ikiwemo; Walter Nalwa, Nicholas Atulo Snr, Cedrick na Dadiseh Olwaga ambao walinuia kujiburudisha katika mchezo huo

Jamvi la Kiswahili, National News, News

KIVUKIO CHA KIFO

Na: Dorothy Waweru dorothywaweru161706@daystar.ac.ke Picha kwa hisani ya: The Star Ni afueni kwa wakenya wote na haswa familia yake Bi. Mariam Kighenda kwa kutolewa katika hindi la Victoria. Shughuli hii iliyochukua siku kumi na tatu, imezifanya nyoyo nyingi sasa kupata na utulivu. Aila ya Bi. Mariam sasa inauhuru wa kuzipumzisha mili ya wapenda wao ambao

Scroll to Top