SHUJAA WETU
Na: Wangu Kanuri kanuriwangu@gmail.com TOA maelezo yako kuhusu mchezo wa raga Raga ni mchezo ambao unahitaji nguvu haswa kwenye misuli. Mchezo huu umegawanywa katika makundi mawili makuu; ya wachezaji saba na ya wachezaji kumi na tano. Kundi hili la wachezaji saba hujulikana vyema kama rugby 7s ilhali hilo la wachezaji kumi na tano hujulikana kama […]