KUNA NINI KATIKA BARABARA YA MAGADI?
wangukanuri181152@daystar.ac.ke Na: Wangu Kanuri Ilikuwa vuta nikuvute katika barabara ya Magadi baina wanafunzi wa chuo kikuu cha Multimedia na polisi. Wanafunzi wa chuo kikuu hicho waliandamana na kufunga barabara hiyo kufuatia ajali iliyomlaza mmoja wao katika hospitali kuu ya Kenyatta huku akiwa katika hali mahututi. Kamanda wa Langata bwana Gregory Mutiso aliwarai wasafiri kutumia njia […]