Jamvi la Kiswahili, National News, News

KIVUKIO CHA KIFO

Na: Dorothy Waweru dorothywaweru161706@daystar.ac.ke Picha kwa hisani ya: The Star Ni afueni kwa wakenya wote na haswa familia yake Bi. Mariam Kighenda kwa kutolewa katika hindi la Victoria. Shughuli hii iliyochukua siku kumi na tatu, imezifanya nyoyo nyingi sasa kupata na utulivu. Aila ya Bi. Mariam sasa inauhuru wa kuzipumzisha mili ya wapenda wao ambao […]