UONGOZI UPYA KATIKA KLABU YA DAYSTAR COMPASSION AND CARE CENTER
Na Gladys Sheila gladyshila52@gmail.com Picha kwa hisani ya: Joseph Gichari Josephndungo55@gmail.com Klabu ya Daystar Compassion and Care Center (DCCC) almarufu DC3 iliyoko katika chuo kikuu cha Daystar ilisherehekea uongozi upya. DC3, ni klabu ambayo imekuwepo tangu mwaka wa (2013) huku lengo lake kuu likiwa kufahamisha wanadaystar kuhusu maswala ya afya, kuwasaidia kisaikolojia wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi […]