Skip to content

Involvement

Home » KWAHERI POGBA

KWAHERI POGBA

(Picha kwa hisani ya SportsArena)

 

{Na Abdul Shaban}

 

Manchester United wametangaza rasmi kuachana na kiungo wao Mfaransa, Paul Labile Pogba akiwa kama mchezaji huru.

 

Pogba akiwa na Manchester United amecheza michezo 233, amefunga mabao 39 na kutoa assists 51.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *