Involvement

Jamvi la Kiswahili

Habari, Jamvi la Kiswahili

Hongera Septemba

Na Mariita, Muhula wa Septemba umejawa na matukio mbalimbali ikiwemo michezo ya Falcon, burudani, wiki ya maonyesho ya mila na desturi za Kiafrika, biashara, utandawazi, mkutano wa kukuza mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa vilevile kuweka msingi wa ujenzi wa maskani ya wanachuo. Hatua hii muhimu ya kulishughulikia suala la maskani, imeibua hisia chanya […]

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

Sikitiko la moyo

Na Mariita Joshua  Langu sikitiko ni haja ya moyo, Moyo wenye kuvunjika na kuvunda, Makovu yangalipo kama alama ya utambulisho. Nisijafa ili nililiwe ila vikao naviona jinamizini, Furaha imenikoma ili wimbi la kiza litawale, Nani wakunipa mapendo ili mtima udunde? Mbona raha inikauke wakati chemichemi inabubujika? Nguvu sinazo, ni lelemama jina langu, Hawahitaji kwenda vichekeshoni,

Hadithi, Jamvi la Kiswahili

TUMBIRI BWALONI

Na Mariita Joshua Ongoro Nimefika kwenye bwalo, nipo foleni nawaona wanachuo kila mtu kashika hamsini zake. Nina mkoba wangu wa ngozi umening’inia begani na kila ninapotembea, mkoba nao unacheza densi ya shwii shwaa. Mwanangu nakumbuka kipindi kile nilikuwa shule ya msingi kijijini Gusii; Mabonde na milima, nilishuka na kupanda nikiwa na kijikoba cheusi chenye mkanda

Habari, Jamvi la Kiswahili

STR8 UP YAALIKA KIZAZI CHA GEN Z

Na Leeroy Wuone Wanafunzi wa chuo kikuu cha Daystar shule ya mawasiliano walihudhuria hafla iliyoandaliwa Standard group mnamo Jumamosi tarehe 28 Septemba mwaka wa 2024.Wanafunzi kumi na watatu walihudhuria hafla hio iliyobandikwa jina “Siku ya ubunifu ya kizazi cha Gen-Z’’. Lengo la Standard group la kuandaa hafla hio ilikuwa kuwahamasisha wanafunzi kuhusu mambo yanavyoendelea kwenye

Habari, Jamvi la Kiswahili

HEKAHEKA ZA MUHULA WA SEPTEMBA

Na Mariita Joshua Ongoro Ni kweli kwamba mihula ya masomo hapa chuoni huwa na mambo yanayochipuka mwanzoni, kati na hata mwishoni. Muhula ukianza kawaida kuna kule kung’ang’ana na hali ya ulipaji karo, usajili wa masomo na mahudhurio ya mara kwa mara. Zaidi, hamna jambo linalobubujisha msongo wa mawazo kama vile kukosa chumba cha kupanga. Je,

Habari, National News, Politics

Rais Ruto Awasimamisha Mawaziri Wote, Atangaza Mabadiliko Makubwa Serikalini

By Joe Aura mawasiliano: aurajoe6@gmail.com {picha ya REUTERS}   Nairobi, Kenya – Julai 11, 2024: Katika hatua muhimu, Rais William Ruto ametangaza mabadiliko makubwa katika utendaji wa serikali, akieleza haja ya kuwa na serikali nyembamba na yenye ufanisi ili kutimiza matarajio makubwa ya Wakenya. Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, serikali imekuwa ikilenga Ajenda ya

Scroll to Top