International Sports, Kenyan Sports, National News, Sports

MWANARIADHA ELIUD KIPCHOGE AMEWEKA REKODI DUNIANI

Na Wangu Kanuri kanuriwangu@gmail.com Oktoba 12 mwaka wa 2019 ni siku ambayo daima itakuwa kumbukumbu kwani mwanariadha Eliud Kipchoge amevunja rekodi aliyokuwa amejiwekea ya kukimbia kwa kilomita arubaini na mbili kwa muda wa saa moja na dakika hamsini na tisa. Isitoshe jina lake limeandikwa katika kitabu cha rekodi cha dunia cha Guiness. Eliud aliyekuwa amejibidisha […]