Jamvi la Kiswahili, Mashairi

WAPI NJIA NITAPATA?

Na Abdul Shaban Ndugu zangu ahlani, wasahlan jamiaNawaombea amani, iweni nanyi daimaNimenena kwa vinani, taarifa kuwafikaNawauliza jamani, wapi njia nitapata? Mwenzenu nawambieni, limenikuta gharikaChonde chonde sikizeni, nipatapo saidikaSitanena kwa uwazi, adui atang’amuzaNawauliza jamani, wapi njia nitapata? Nimo ndani ya bahari, nimezama kwa pupaHali imetahayari, sina hata pa kushikaMchana hapapo tuli, usikupo kwachafukaNawauliza jamani, wapi njia […]