Jamvi la Kiswahili, National News, News

SIKUKUU YA MOI YAREJESHWA TENA

Picha kwa hisani ya: businesstoday.co.ke Na Gladys Sheila, gladyshila52@gmail.com Katibu wa baraza la mawaziri katika wizara ya mambo ya ndani na uratibu wa serikali ya kitaifa Daktari Fred Matiang’i alitoa taarifa siku ya Jumanne na kuidhinisha sikukuu ya Moi kama sikukuu ya kitaifa. Hii ni baada ya uamuzi wa mahakama. Mnamo mwaka wa 2010, sikukuu […]