SHUJAA WETU
Na: Wangu Kanuri kanuriwangu@gmail.com Melina Gold, mwanzilishi wa begi za Melina Gold. TUELEZE kuhusu ushoni wako wa mikoba [UTANGULIZI] Mikoba ya Melina Gold, ninashona kwa kutumia ngozi. Utengenezaji wa mikoba hii ilianza mwaka wa 2019 Februari huku lengo langu likiwa kuutuza usanii na upekee wa vitu vya Kenya. Ushonaji wa mikoba hii hutumia ngozi na […]