THE U.S. SET TO EXIT FROM THE PARIS AGREEMENT
As from 4th November 2019, the Trump Administration has announced that they shall be withdrawing the USA from the Paris Agreement.
matters of importance affecting Kenya
As from 4th November 2019, the Trump Administration has announced that they shall be withdrawing the USA from the Paris Agreement.
A delay in the introduction to ministries and government corporations saw interns posted by the Public Service Commission (PSC) rejected.
Always, the menstrual pad company decides to remove the female symbol from its product.
Picha kwa hisani ya: businesstoday.co.ke Na Gladys Sheila, gladyshila52@gmail.com Katibu wa baraza la mawaziri katika wizara ya mambo ya ndani na uratibu wa serikali ya kitaifa Daktari Fred Matiang’i alitoa taarifa siku ya Jumanne na kuidhinisha sikukuu ya Moi kama sikukuu ya kitaifa. Hii ni baada ya uamuzi wa mahakama. Mnamo mwaka wa 2010, sikukuu
Na: Dorothy Waweru dorothywaweru161706@daystar.ac.ke Picha kwa hisani ya: The Star Ni afueni kwa wakenya wote na haswa familia yake Bi. Mariam Kighenda kwa kutolewa katika hindi la Victoria. Shughuli hii iliyochukua siku kumi na tatu, imezifanya nyoyo nyingi sasa kupata na utulivu. Aila ya Bi. Mariam sasa inauhuru wa kuzipumzisha mili ya wapenda wao ambao
Na Wangu Kanuri kanuriwangu@gmail.com Oktoba 12 mwaka wa 2019 ni siku ambayo daima itakuwa kumbukumbu kwani mwanariadha Eliud Kipchoge amevunja rekodi aliyokuwa amejiwekea ya kukimbia kwa kilomita arubaini na mbili kwa muda wa saa moja na dakika hamsini na tisa. Isitoshe jina lake limeandikwa katika kitabu cha rekodi cha dunia cha Guiness. Eliud aliyekuwa amejibidisha