Involvement

Jamvi la Kiswahili

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

SAFARI YA UMAUTI

Na Abdul Shaban   Maradhi yamenisibu, hadi leo naugua, Sasa naona aibu, afya imenipotea, Naomba kwake Wahabu, kwa rehema za jalia, Kifo ni njia ya haki, safari yake lazima.   Naumwa nakondeana, dawa haziwezi tibu, Na kula siwezi tena, ameshasema tabibu, Ndugu wanawaza sana, waketi nami karibu, Kifo ni njia ya haki, safari yake lazima. […]

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

ENYI VIJANA

(Picha kwa hisani ya Owlcation.com) Na Abdul Shaban   Tulisifu na kulitukuza jina lake siku zote Kwa maana anatupenda sisi sote Uwepo wake umedhihirika kote duniani Siku zote nuru za nguvu zake huonekana hata gizani Wakati wa furaha na majonzi na dhiki Yeye ndiye dereva wa maisha yetu   Enyi vijana, njooni nyote kwake Jalali

Jamvi la Kiswahili, Mashairi

KITU KIZITO

(Picha kwa hisani ya Dreamstime.com) {Na Abdul Shaban}   Nakumbuka siku hiyo, niliketi kitandani, Alikuja mbiyombiyo, akalala kifuani, Akiwa mwenye kiliyo, kama yuko msibani, Hakika kitu kizito, kimenipiga kichwani.   Kabla kumuuliza, tatizo ni kitu gani, Ambacho kinamliza, akatoka furahani, Akanambia sikiza, “ewe wangu wa hubani” Hakika kitu kizito, kimenipiga kichwani.   Na mimi sikupuuza, kulifanyia utani,

Michezo

PENYE SAMIA PANA SULUHU

(Picha kwa hisani ya SportsArena) {Na Abdul Shaban}   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameonyesha nia ya kuomba kuandaa AFCON mwaka 2027 kama Tanzania itapata viwanja vingine vitatu vipya zaidi ya vilivyopo. Rais Samia aliyasema hayo wakati akipokea Kombe la Dunia 2022; “Kwa sasa tuna hiki cha Mkapa, Amaan Zanzibar,

Campus News, Jamvi la Kiswahili

Prof.Laban Ayiro azungumzia Elimu ya Utatuzi chuoni Daystar

Na; Righa Sedellar Hivi leo katika makala ya Dau La Elimu na Frank Otieno kwenye runinga ya KTN, Naibu Chansela wa chuo kikuu cha Daystar,Profesa  Laban Ayiro pamwe na Mhadhiri wa chuo kikuu cha Moi,Profesa Violet  Naanyu  na Profesa Lukoye Atwoli wa chuo kikuu cha Aga Khan walichangia pakubwa katika mjadala wa Elimu Ya Utatuzi

Jamvi la Kiswahili, National News, News

SIKUKUU YA MOI YAREJESHWA TENA

Picha kwa hisani ya: businesstoday.co.ke Na Gladys Sheila, gladyshila52@gmail.com Katibu wa baraza la mawaziri katika wizara ya mambo ya ndani na uratibu wa serikali ya kitaifa Daktari Fred Matiang’i alitoa taarifa siku ya Jumanne na kuidhinisha sikukuu ya Moi kama sikukuu ya kitaifa. Hii ni baada ya uamuzi wa mahakama. Mnamo mwaka wa 2010, sikukuu

Scroll to Top